Mkoani Kigoma maadhimisho hayo yamefanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma vijijini ambapo wanawake kutoka Taasisi mbalimbali, wataalam pamoja na wajasiriamali wameshiriki kilele cha maadhimisho hayo.
Katika maadhimisho hayo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe.Thobias Andengenye alikua mgeni Rasmi.
Cc @kigomars @ Kigoma Press Club Kgpc
Comments
Post a Comment