Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Ametengua Uteuzi wa Kamishina Diwani Athuman Msuya,aliyemteua kuwa Katibu Mkuu Ikulu,tangu Januari 3,2023.
Mhe.Rais Samia Ametengua Uteuzi huo mapema Leo Januari 5,2023,na badala yake Amemteua Bw.Mululi Majula Mahendeka Kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Kabla ya Uteuzi huu Bw.Majula alikua Afisa muandamizi wa Ofisi ya Rais, Ikulu.
Picha Kwa Hisani ya
Comments
Post a Comment