Kutokana na watu wengi kuhangaika ili kuchakachua modem zao ili zitumie laini za mitandao zaidi ya moja,
Tumeamua
kutoa mwongozo huu kwenu wasomaji, fuata maelekezo kwa makini ili uweze
kufanikisha zoezi hili bila MALIPO yoyote.
Bonyeza "skip AD" upande wa juu kulia wa ukurasa
bc.vc wakati kubonyeza katika viungo kila ukidownload link zifuatazo hapo chini,
2. Weka namba ya IMEI kwenye "Universal Calculator na kupata FLASH CODE ambayo tutakwenda kuitumia kama
PASSWORD katika hatua ya pili.
4. Unzip faili na hakikisha kuwa Modem yako ni imechomekwa
kwenye kompyuta na imewekwa LINE tofauti.
5. Acha wakati iki update, subiri hadi wakati utakapoulizwa PASSWORD CODE zako ulizozipata kutoka kwenye
Calculator Universal Mastercode .. weka FLASH CODE...Subiri kwa takribani dakika 3 na Modem yako itafunguka moja kwa moja.
Comments
Post a Comment