Chama cha wanafunzi wanaosoma mahusiano ya umma na masoko katika chuo cha mtakatifu Augustino chini ya chama chao Saut Students Public relations Association (SSPRA) wamefanya uchaguzi wakuwapata viongozi katika nyadhifa mbalimbali ili kuwaongoza kwa kipindi cha mwaka 2013-2014.
Katika kinyanganyiro hicho nafasi zilizo kuwa zikigombewa zilikua ni pamoja na Mwenyekiti wa chama,Makamu mwenyekiti, Katibu mkuu,Makamu katibu mkuu,mtunzanza hazina,mtunza hazina msaidizi,Afisa mahusiano wa chama,na Makamu Afisa mahusiano msaidizi.
Katika kinyanganyiro hicho majina yafuatayo waliibuka washindi baada ya kupigiwa kura na wanachama wa SSPRA. Nafasi yaMwenyekiti ilitwaliwa na, Sing'ambi Athanas, Mwenyekiti Msaidizi Mapura Ndege, Katibu Mkuu, Mbwaga Aman E. Katibu Msaidizi, Ephraim Rodrich. Afisa mahusiano Mkuu wa chama Athanas Mathias, Afisa mahusiano Msaidizi, Jesse Edwin, Mhazini Mkuu, Zawad Kyando, Mhazin Msaidizi Wilson Bahath.

Picha ya pamoja ya baadhi ya viongozi wateule wa chama. |
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi bwana Oddilo John. |
Jopo zima la viongozi wateule wa SSPRA |
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi wakifuatilia kwa ukalibu mchakato mzima!kulia ni bwana David Lymo na kushoto ni ndugu Evodia Ngyabuso. |
Mmoja wa wagombea akimwaga sera zake mbele ya wanachama wa SSPRA. |
Maswali nayo hayakukosekana kwa wagombea |
Lugha za ihara kusisitiza zikachukua mkondo |
Lodriche katibu mkuu msaidiziakiwasikiliza wanachama kwa makini |
Athanasi Masota afisa mahusiano mkuu akieleza sera na mikakati yake juu ya chama |
Athanasi Singambi mwenyekiti mteule akisisitiza jambo |
Mgombea akitoa maelezo na kujieleza mbele ya wanachama |
Mtunza hazina msaidizi ndugu Bahati Wilison aliibuka kidedea baada ya kupita bila kupingwa |
Mwenyekiti kamati ya maadili na weledi Ndg.Anthonius Clement akifuatilia mchakato mzima wa uchaguzi. |
Mlezi msaidizi na musisi wa chama (SSPRA) ndugu Katabi akawasalimu wanachama |
Bwana Emily marcus akimwaga sera zake hata hivyo hakufua dafu kwa mshindani wake Ndugu Athanas Masotha Mathiasi |
Ndugu Albert Tibaijuka mlezi na mshauri mkuu wa chama pia aliweza kuhudhulia uchaguzi huu. |
Hapa akiwaasa wanachama kujitoa kwaajiri ya chama na si kwa masilahi Binafsi. |
Mshikamano na umoja ukasisitizwa miongoni mwa wanachama wa SSPRA |
Pongezi zikatolewa kwa washindi wa nyadhifa mbalimbali.Amani mbwaga akipongezwa na Ndugu Katabi(kushoto) pamoja na Damali Machaku (kulia) |
Mheshimiwa Raisi Wa jumuiya ya wanafunzi SAUTISO Mh.Dovya alihudhuria na hapa akiwasalimu wanachama wa SSPRA. |
Mwenyekiti wa Maadili na weledi Ndugu Anthonius akiwapongeza washindi wa nafasi ya uwenyekiti na makamu mwenyekiti.(katikati menyekiti Ngugu Athanasi Singambi)na kulia Ndugu Mapura Ndege. |
Jesse Edwini Afisa mahusiano msaidizi SSPRA |
Comments
Post a Comment