Skip to main content

WANANCHI WAHIMIZWA KUZINGATIA USAFI WA MAZINGIRA.

 

Mkuu wa Wilaya Kakonko kanali Evance Mesha Mallasa, amewataka Wananchi Wilayani Kakonko kujenga utamaduni wa kufanya usafi katika mazingira Ili kuufanya mji wa Kakonko Kuwa safi na wenye kuvutia.

Ameyasema hayo Agosti 01 2023,katika  kikao Cha maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa uhuru kilicho fanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Kakonko.


Kanali Mallasa  amewataka watumishi wa idara ya mazingira Kuwa Msatari wa Mbele kuwahamasisha wananchi kufanya usafi wa mazingira kama ambavyo viongozi wa Serikali wanasisitiza akiwamo Makamu Wa Rais Dkt Philip Isdory Mpango na vile vile kutekeleza Kwa vitendo ratiba ya kitaifa ya usafi ambapo Kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi inapaswa kutekelezwa.

Aidha amekemea,Suala La baadhi ya Watumishi wa idara ya mazingira kushindwa Kutoa ushirikiano Kwa uongozi wa Wilaya hasa pale wanapo tafutwa kwaajiri ya kupatiwa Maelekezo ya utekelezaji wa Usafi wa Mazingira.


"Viongozi kunabaadhi ya mambo tunapaswa kushirikishana,Sasa Unakuta umampigia simu Mtu wa Idara ya mazingira umshirikishe jambo la usafi wa mazingira yetu hapokei simu Wala hakutafuti hata Baada ya kuona simu Yako Wala Ujumbe mfupi hajibu pale Unapo mtumia..,niwaombe tubadilike"Alisema Kanali Mallasa.



Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kakonko Ndaki Stephano Mhuli ameahidi Kufuatilia kwa karibu na kutekeleza maagizo  yaliyotolewa  kupitia idara ya mazingira Ili kuhakikisha  mji wa Kakonko unakuwa  Safi na wenye kuvutia muda Wote.

Comments

Popular posts from this blog

7 BUSINESS LOCATION THAT INCREASE BRAND VISIBILITY

Marketing has changed and it has become more personal. People nowadays need convenience and you cannot expect that your customer will come to you. You will have to go to your customer again and again so that he does not switch to any other brand. Remember that your customer has numerous options in his hand. Thus your business needs to present in locations where the customer can make his buying decision easily. This is where your business location plays an important role. The process of managing a business is continually changing but more importantly with the advent of online marketing, your business location itself has changed. Because of the increasing usage of internet, Smart phones too are the latest trend and hence the reach of internet is now quadrupled. But it is not necessary that your customer be present only on the internet. Brick businesses are as alive today as online businesses. Below you will find a list of 7 business locations that you should be ...

GET TO KNOW WHAT IS INTERNENT

What is Internet The internet in simple terms is a network of the interlinked computer networking worldwide, which is accessible to the general public. These interconnected computers work by transmitting data through a special type of packet switching which is known as the IP or the internet protocol. Internet is such a huge network of several different interlinked networks relating to the business, government, academic, and even smaller domestic networks, therefore internet is known as the network of all the other networks. These networks enable the internet to be used for various important functions which include the several means of communications like the file transfer, the online chat and even the sharing of the documents and web sites on the WWW, or the World Wide Web. It is always mistaken said that the internet and the World Wide Web are both the same terms, or are synonymous. Actually there is a very significant difference between the t...

GET TO KNOW 3 C CONCEPT OF MARKETING

The 3 C concept of marketing strategy is a very interesting concept for marketers as it explains complete marketing strategy on the basis of 3 variables. These 3 variables are dynamic and inter dependent on each other. If one changes, the other has to change. The 3 C of marketing strategy are 1) Customer 2) Company 3) Competitor This concept of marketing strategy talks about the dynamic relation which exists in these three variables. Let us explain such relations with an example. Customer + Company = Low competition. When a customer has a high regard for a company, the competitor seldom finds a chance to penetrate. For example – niche products with high brand equity. The above equation can also be reversed. Customer + Competitor = Low penetration for our company. Customer = Competitor or Company The above equation can be observed when there is not much competition and also when the difference between the company and the competition is less. In this ca...