Skip to main content

TISS YAPATA BOSS MPYA.

 


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, Amemteua Bw.Said Hussein Masoro kuwa Mkurugenzi mkuu wa Idara ya Usalama wa taifa,Kuchukua nafasi ya Kamishina Diwani Athuman Msuya  Ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Ikulu.

Kabla ya Uteuzi huo Bw.Masoro alikua akihudumu katika Idara ya Usalama wa Taifa kama Naibu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa shughuli za  ndani wa Usalama wa Taifa.

Wakati huo huo Rais Dkt.Samia amemteua Balozi Hussein Othman Katanga Kuwa Balozi wa Tanzania mjini New York, Nchini Marekani na muwakilishi wa kudumu wa Umoja wa Mataifa. Balozi Katanga anachukia nafasi ya Balozi Profesa Kennedy Gaston,Ambaye Uteuzi wake umetenguliwa.

Balozi Katanga kabla ya Uteuzi huu alikua Katibu Mkuu Kiongozi.

Vile vile Mhe.Rais Dkt.Samia amemteua Bw.Moses Mpogole Kusiluka Kuwa Katibu Mkuu Kiongozi,Ambapo kabla ya Uteuzi huo alikua Katibu Mkuu Ikulu.

Taarifa Rasimi Kutoka Kurugenzi ya mawasiliano ya Raisi Ikulu iliyotolewa mapema Jana Januari 3,2023, inaeleza Kuwa Uteuzi huo unaanza mara moja.

Picha Kwa Hisani ya Ikulu.go.tz


Comments

Popular posts from this blog

7 BUSINESS LOCATION THAT INCREASE BRAND VISIBILITY

Marketing has changed and it has become more personal. People nowadays need convenience and you cannot expect that your customer will come to you. You will have to go to your customer again and again so that he does not switch to any other brand. Remember that your customer has numerous options in his hand. Thus your business needs to present in locations where the customer can make his buying decision easily. This is where your business location plays an important role. The process of managing a business is continually changing but more importantly with the advent of online marketing, your business location itself has changed. Because of the increasing usage of internet, Smart phones too are the latest trend and hence the reach of internet is now quadrupled. But it is not necessary that your customer be present only on the internet. Brick businesses are as alive today as online businesses. Below you will find a list of 7 business locations that you should be ...

GET TO KNOW WHAT IS INTERNENT

What is Internet The internet in simple terms is a network of the interlinked computer networking worldwide, which is accessible to the general public. These interconnected computers work by transmitting data through a special type of packet switching which is known as the IP or the internet protocol. Internet is such a huge network of several different interlinked networks relating to the business, government, academic, and even smaller domestic networks, therefore internet is known as the network of all the other networks. These networks enable the internet to be used for various important functions which include the several means of communications like the file transfer, the online chat and even the sharing of the documents and web sites on the WWW, or the World Wide Web. It is always mistaken said that the internet and the World Wide Web are both the same terms, or are synonymous. Actually there is a very significant difference between the t...

1️⃣SEMINA YA NENO LA MUNGU UWANJA WA WAJENZI-DODOMA : NA MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE

1️⃣SEMINA YA NENO LA MUNGU UWANJA WA WAJENZI-DODOMA : NA MWL. CHRISTOPHER  MWAKASEGE SIKU YA KWANZA: 27 APRILI, 2022 SOMO: “MANENO PINGAMIZI YASIKWAMISHE UAMSHO WAKO BINAFSI”  UTANGULIZI LENGO YA SOMO Uamsho kutoka kwa Mungu uliokusudiwa kwa ajili yako uweze kuupata. Na msisitizo hapa haupo kwenye maneno bali upo kwenye uamsho. Na kati ya kitu kimojawapo tutakachoshughulika nacho kwenye somo hili ni maneno pingamizi ambayo yanatafuta kila namna ya kukukwamisha ili usipokee kile Mungu alichokikusudia kwako na usifike pale Mungu alipokusudia ufike.   Na kwa leo nataka tujifunze na kuangalia juu ya UMUHIMU WA UHUSIANO WA UAMSHO WAKO WA LEO NA MAFANIKIO YAKO YA KESHO   Soma Matendo ya Mitume 12:1-17 Maandiko yanasema kwenye mstari wa 7 kusema “Mara malaika wa Bwana akasimama karibu naye, nuru ikamulika mle chumbani, akampiga Petro ubavuni, akamwamsha, akisema, Ondoka upesi. Minyororo yake ikamwanguka mikononi.” Malaika alimwamsha Petro ili apate uamsho wake binafsi akiwa...