Skip to main content

MO:SIMBA BADO IMEFANIKIWA.*

 


 *Na.Anthonius Clement-Kigoma* 


Raisi wa heshima na Muwekezaji wa klabu ya Soka ya Simba Mohamed Dewji, amesema Timu ya Simba bado Ni Timu iliyofanikiwa licha ya Kuwa msimu Huu kutokuwa na Kiwango kizuri Katika mashindano ya Ndani.


Mo ameyasema Hayo katika chapisho kwenye ukurasa wake wa kijamii wa mtandao wa Facebook.


Sehemu ya Chapisho Hilo inasema ".......Najivunia kuweza kusema tupo Katika orodha ya vilabu Bora 12 Afrika"


"Hii imekua Mara ya kwanza Simba Kuwa na muendelezo mzuri katika miaka 86 ya historia Yetu" iliongeza Taarifa hiyo.


Hata hivyo Mo Dewji kupitia Taarifa yake hiyo ameandika Kuwa KWA Kipindi Cha miaka mitano iliyopita Simba imekua Katika mafanikio makubwa Katika mashindano ya Ndani na mashindano ya kimataifa KWA kutwaa vikombe vingi  vya mashindano ya Ndani ya nchi,Na kuweza Kuweka alama Katika mashindano ya kimataifa KWA kufika hatua ya Robo fainali Mara Tatu mfululizo Katika mashindano ya klabu bingwa Afrika. Taarifa imeongeza kuwa uongozi hautarudi nyuma Bali utafanya Kazi maeneo Yenye madhaifu Ili kusonga Mbele na mapambano yaendelee imehitimisha Taarifa hiyo.


Klabu ya Simba Msimu Huu wa Mashindano ya Ligi kuu NBC na mashindano ya kombe la Shirikisho ASFC  haijawa na Wakati mzuri,Kwani Hadi Sasa wanashika nafasi ya pili Katika msimamo wa Ligi kuu NBC wakiwa na Alama 53  nyuma ya kinara wa Ligi ya NBC Timu ya Yanga(Young Africans) wenye Alama 63.


Pia Simba iliondoshwa Katika mashindano ya kombe la Shirikisho la Azam ASFC hatua ya Nusu fainali na Mtani wake wa Jadi Yanga Baada ya Kufungwa Bao 1-0 Mchezo uliopigwa Katika uwanja wa CCM kirumba Siku ya Jumamosi Mei 28,2022.

Comments

Popular posts from this blog

7 BUSINESS LOCATION THAT INCREASE BRAND VISIBILITY

Marketing has changed and it has become more personal. People nowadays need convenience and you cannot expect that your customer will come to you. You will have to go to your customer again and again so that he does not switch to any other brand. Remember that your customer has numerous options in his hand. Thus your business needs to present in locations where the customer can make his buying decision easily. This is where your business location plays an important role. The process of managing a business is continually changing but more importantly with the advent of online marketing, your business location itself has changed. Because of the increasing usage of internet, Smart phones too are the latest trend and hence the reach of internet is now quadrupled. But it is not necessary that your customer be present only on the internet. Brick businesses are as alive today as online businesses. Below you will find a list of 7 business locations that you should be ...

GET TO KNOW WHAT IS INTERNENT

What is Internet The internet in simple terms is a network of the interlinked computer networking worldwide, which is accessible to the general public. These interconnected computers work by transmitting data through a special type of packet switching which is known as the IP or the internet protocol. Internet is such a huge network of several different interlinked networks relating to the business, government, academic, and even smaller domestic networks, therefore internet is known as the network of all the other networks. These networks enable the internet to be used for various important functions which include the several means of communications like the file transfer, the online chat and even the sharing of the documents and web sites on the WWW, or the World Wide Web. It is always mistaken said that the internet and the World Wide Web are both the same terms, or are synonymous. Actually there is a very significant difference between the t...

1️⃣SEMINA YA NENO LA MUNGU UWANJA WA WAJENZI-DODOMA : NA MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE

1️⃣SEMINA YA NENO LA MUNGU UWANJA WA WAJENZI-DODOMA : NA MWL. CHRISTOPHER  MWAKASEGE SIKU YA KWANZA: 27 APRILI, 2022 SOMO: “MANENO PINGAMIZI YASIKWAMISHE UAMSHO WAKO BINAFSI”  UTANGULIZI LENGO YA SOMO Uamsho kutoka kwa Mungu uliokusudiwa kwa ajili yako uweze kuupata. Na msisitizo hapa haupo kwenye maneno bali upo kwenye uamsho. Na kati ya kitu kimojawapo tutakachoshughulika nacho kwenye somo hili ni maneno pingamizi ambayo yanatafuta kila namna ya kukukwamisha ili usipokee kile Mungu alichokikusudia kwako na usifike pale Mungu alipokusudia ufike.   Na kwa leo nataka tujifunze na kuangalia juu ya UMUHIMU WA UHUSIANO WA UAMSHO WAKO WA LEO NA MAFANIKIO YAKO YA KESHO   Soma Matendo ya Mitume 12:1-17 Maandiko yanasema kwenye mstari wa 7 kusema “Mara malaika wa Bwana akasimama karibu naye, nuru ikamulika mle chumbani, akampiga Petro ubavuni, akamwamsha, akisema, Ondoka upesi. Minyororo yake ikamwanguka mikononi.” Malaika alimwamsha Petro ili apate uamsho wake binafsi akiwa...