Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2013

CUSTOMER COMPLAINTS & HOW TO HANDLE THEM

Typical customer complaints will involve the customer calling the company and telling you about a product or service which is not performing as per expected standard. Such a customer complaint may be genuine or there may be some oversight from company end due to which the customer is suffering. The reactions of customers can vary if their product is not performing up to mark. Some customers might show more patience than others. In any case there needs to be a set protocol to handle irate customer. Thus we are outlining a 7 step method for handling customer complaints. 1 Have thorough knowledge of your own products / services – Before handling customer complaints, you need to know your own systems inside out. A customer who is calling for a complaint will be even more enraged if you do not know your own products or services. 2 Listen to the customer – Not listening to the customer can create grave problems. Imagine if the customer has a genuine problem but ins...

MWAKYEMBE AVUNJA MTANDAO WA DAWA ZA KULEVYA (JNIA)

Dkt. Mwakyembe akionyesha picha ya Agness Gelard "Masogange" kwa wanahabari. Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe amewafukuza kazi na kuliagiza jeshi la Polisi nchini kuwaunganisha na wengine kwenye kesi mahakamani ili kujibu mashitaka ya jinai, wale wote waliohusika katika kuuwasaidia Agnes Gerald na mwenzake Mellisa kupitisha dawa za kulevya kuelekea Afrika Kusini ambako walikamatwa katika kiwanja cha Ndege cha Oliver Thambo nchini humo. Waziri Mwakyembe ametoa agizo hilo leo, ofisini kwake, mbele ya waandishi wa habari wakati alipowaita ili kuufahamisha umma kuhusu hatua zilizochukuliwa na Wizaa yake kuhusu suala la dawa za kulevya Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe jana ameanika majina ya watu saba waliohusika kupitisha mabegi tisa yaliyokuwa na kilo 180 za dawa za kulevya zenye thamani ya Sh8 bilioni, Julai 5 mwaka huu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), wakiwamo maofisa usalama wanne wa Mamlaka ya Viwanja vya...

GET TO KNOW 3 C CONCEPT OF MARKETING

The 3 C concept of marketing strategy is a very interesting concept for marketers as it explains complete marketing strategy on the basis of 3 variables. These 3 variables are dynamic and inter dependent on each other. If one changes, the other has to change. The 3 C of marketing strategy are 1) Customer 2) Company 3) Competitor This concept of marketing strategy talks about the dynamic relation which exists in these three variables. Let us explain such relations with an example. Customer + Company = Low competition. When a customer has a high regard for a company, the competitor seldom finds a chance to penetrate. For example – niche products with high brand equity. The above equation can also be reversed. Customer + Competitor = Low penetration for our company. Customer = Competitor or Company The above equation can be observed when there is not much competition and also when the difference between the company and the competition is less. In this ca...

UNLOCK MODERM YAKO SASA

Kutokana na  watu wengi kuhangaika ili kuchakachua modem zao ili zitumie laini za mitandao zaidi ya moja,   Tumeamua kutoa mwongozo huu kwenu wasomaji, fuata maelekezo kwa makini ili uweze kufanikisha zoezi hili bila MALIPO yoyote. Bonyeza "skip AD" upande wa juu kulia wa ukurasa bc.vc wakati kubonyeza katika viungo kila ukidownload link zifuatazo hapo chini, 1. Download Universal Calculator ili tuweze kupata CODE   kutoka hapa 2. Weka namba ya IMEI kwenye "Universal Calculator na kupata FLASH CODE ambayo tutakwenda kuitumia kama PASSWORD katika hatua ya pili. 3. Download Huawei E303 firmware update kutoka hapa 4. Unzip faili na hakikisha kuwa Modem yako ni imechomekwa kwenye kompyuta na imewekwa LINE tofauti. 5. Acha wakati iki update, subiri hadi wakati utakapoulizwa PASSWORD CODE zako ulizozipata kutoka kwenye Calculator Universal Mastercode .. weka FLASH CODE...Subiri kwa takribani dakika 3   na Modem yako itafunguka moja kwa mo...