Kwa mara ya kwanza katika jiji la mwanza yale mashindano ya michezo mbalimbali yanayohusisha vyuo vikuu nchini Tanzania yakihusisha michezo ya mpira wa miguu,(football), Mpira wa wavu(volleyball) Riadha pamoja na Urimbwende yamefanyika katika jiji la mwanza. Mashindano hayo yaliyovuta hisia za wakazi wa jiji la mwanza yalihudhuliwa na mamia ya wakazi wa jiji hili ili kupata kujionea vipaji katika michezo mbalimbali iliyo husisha vyuo vyote vya jiji la mwanza vikiwemo,SAUT Bugando,CBE,Chuo cha Mipango,na vingine vingi vyote vya jijini mwanza. Mashindano haya yaliandaliwa na kampuni ya kampuni ya Tanzania Eleveted Greean company limited ikishirikiana na Nyanza Communication Cosultancy Limited ya jijini mwanza chini ya udhamini wa SBS Tanzania kama mdhamini mkuu na Clouds Media Group.wadhamini wengine walikuwa ni Mama Raja Decorations, Millenium Park Hotel, Clara Saloon pamoja na Flora saloon zote za jijini Mwanza Katika utangulizi wa mashindano hay...