Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2013

KARIBU DAR KALA JEREMEAH FT BEN PAUL

WANAO SEMA MIMI FREEMASON WAMESHINDWA TUU! JIGGER

Jay-Z K umekuwa na rumors kwa Jay-Z kuwa katika muunganiko na jamii ya kishetani ikifahamika kama FREEMASON ikiwa inaongelewa sana kwa miaka ya hivi karibuni. Huku ikionekana ikiwa imetulia kwa sasa, lakini bado majadiliano yanaendelea. Akifanya interview na Jarida la Delta Airlines SKY MAGAZINE, Hip-Hop star Jay-Z aliulizwa kuhusu ushiriki wake huo, na kujibu kuwa ni kwamba wale wanosema hivyo ni kwamba hawapendi maendeleo yake na inakuwa hivyo zaidi hasa wanapoona wao wamefeli.   Jay-Z , "It may sound a little arrogant, but I just think people can't handle when somebody else is successful," Jay said in the mag's feature. "Something has gotta be wrong; you gotta be down with some higher power. And I guess when someone else is successful, it makes you feel like maybe you're a failure. So it can't be you, it has to be some other force." Mara ya mwisho Jay-Z kulion...